Matendo Ya Mitume 19:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini umati ulipogundua yakuwa yeye ni Myahudi, walipiga kelele kwa kiasi cha saa mbili wakisema, “Artemi wa Waefeso ni mkuu!”