Matendo Ya Mitume 19:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wayahudi wakamchagua Aleksanda azungumze kwa niaba yao naye akawaashiria watu wanyamaze apate kuzungumza.