Matendo Ya Mitume 19:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Jambo hili likajulikana kwa wenyeji wote wa Efeso, Wayahudi kwa Wagiriki; hofu ikawajaa watu wote; na jina la Bwana likaheshimiwa.