Matendo Ya Mitume 19:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule mtu aliyekuwa na pepo mchafu akawarukia akawashambulia vikali, wakatoka ndani ya ile nyumba mbio wakiwa uchi na wenye majeraha.