Matayo 25:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu wa mataifa yote watakusanyika mbele yake, naye atawaten ganisha kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.