Matayo 25:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Mwana wa Adamu atakapokuja katika utukufu wake pamoja na malaika wote, ataketi katika kiti chake cha utukufu cha enzi.