Matayo 24:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtasikia habari za vita na tetesi za vita, msitishike; kwa maana haya hayana budi kutokea; lakini mwisho utakuwa bado.