Matayo 24:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana wengi watakuja kwa jina langu wakisema, ‘Mimi ndiye Kristo’ nao watawapotosha wengi.