Matayo 24:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Taifa kwa taifa na nchi kwa nchi zitapigana. Kutakuwa na njaa na tetemeko la ardhi sehemu mbalim bali.