Marko 9:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akasema, “Msimzuie, ye yote atendaye miujiza kwa jina langu kwani hawezi kunigeuka mara moja na kunisema vibaya.