Marko 9:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yohana akamwambia, “Mwalimu, tumemwona mtu akitoa pepo kwa jina lako tukamzuia kwa sababu yeye si mmoja wetu.”