Marko 5:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi Yesu akaongozana naye. Umati mkubwa wa watu waliomfuata wakawa wanamsonga.