Marko 5:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
akamsihi, “Binti yangu mdogo ni mgonjwa mahututi. Tafadhali njoo umguse kwa mikono yako apate kupona na kuishi.”