Marko 15:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamvika Yesu vazi la zambarau, wakatengeneza taji ya miiba, wakamvika.