Marko 15:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Maaskari wakampeleka Yesu hadi kwenye ukumbi wa ndani ya Ikulu iliyoitwa Praitoria, wakakusanya kikosi kizima cha askari.