Luka 8:52

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu waliokuwepo walikuwa wakilia na kuomboleza lakini Yesu akawaam bia, “Acheni kulia! Huyu binti hajafa ila amelala!”