Luka 8:51

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wal ipofika kwa Yairo akawazuia watu wote wasiingie ndani isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana, na baba na mama wa yule binti.