Luka 8:45

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akauliza: “Nani amenigusa?” Kila mtu alipo kana Petro akasema, “Bwana, watu ni wengi mno wanaokusonga kila upande.”