Luka 8:44

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akaja nyuma ya Yesu, akam gusa pindo la vazi lake. Mara damu iliyokuwa ikimtoka ikakauka, akapona.