Luka 23:46

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akapaza sauti akasema, “Baba, mikononi mwako ninaikabidhi roho yangu.” Baada ya kusema haya, akakata roho.