Luka 23:45

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
kwa maana jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likapasuka katikati kukawa na vipande viwili.