Luka 11:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wajinga Ninyi! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza sehemu ya nje ndiye aliyetengeneza na ya ndani pia?