Luka 11:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo Bwana akamwambia, “Ninyi Mafarisayo mnasafisha kikombe na sahani kwa nje huku ndani mmejaa udhalimu na uovu.