Luka 1:42

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
akasema kwa sauti kubwa: “Umebarikiwa wewe zaidi ya wanawake wengine wote, naye mtoto utakayemzaa amebari kiwa.