Luka 1:41

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Naye aliposikia salaamu za Mariamu, mtoto aliyekuwa tumboni mwake aliruka. Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu,