2 Wakorintho 8:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Pamoja naye tunamtuma ndugu ambaye anasifiwa na makanisa yote kwa huduma yake ya kuhubiri Injili.