Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
2 Wakorintho 8:19
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Zaidi ya hayo, amechagu liwa na makanisa asafiri nasi kupeleka matoleo haya. Hii ni huduma ambayo tunafanya kwa utukufu wa Bwana na pia kuonyesha nia yetu ya kuwasaidia wengine.
Read full chapter →
Compare all translations →