2 Wakorintho 8:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Si kwamba amekubali ombi letu tu, bali anakuja kwenu akiwa na ari na kwa hiari yake mwenyewe.