2 Timotheo 4:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ni Luka peke yake ambaye yupo hapa pamoja nami. Mchukue Marko uje pamoja naye kwa sababu ananisaidia katika huduma yangu.