2 Timotheo 4:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
kwa sababu Dema, kwa kuu penda ulimwengu huu wa sasa, ameniacha akaenda Thesalonike. Kreske amekwenda Galatia na Tito amekwenda Dalmatia.