1 Wakorintho 5:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mungu anawa hukumu walio nje ya kanisa. “Mfukuzeni mtu mwovu atoke kutoka katika ushirika wenu.”