1 Wakorintho 5:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Si kazi yangu kuhukumu watu walio nje ya kanisa. Je, si hao walio ndani ya kanisa mnaopaswa kuwahukumu?