1 Wakorintho 3:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sisi ni wafanyakazi pamoja na Mungu; ninyi ni shamba la Mungu; ninyi ni jengo la Mungu.