1 Wakorintho 3:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Anayepanda mbegu ni sawa na yule anayemwagilia maji. Kila mmoja wao atapokea malipo yake kulingana na kazi yake.