1 Wakorintho 16:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Pengine nitakaa nanyi kwa muda, au hata nitakaa nanyi kipindi chote cha baridi, ili muweze kunisaidia katika safari zangu, po pote niendapo.