1 Wakorintho 16:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya kupitia Makedonia, nitakuja kwenu; maana natazamia kupitia Makedonia.