1 Wakorintho 15:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana nyama zote si za aina moja. Binadamu wana nyama ya aina moja, wanyama wana aina nyingine na hali kadhalika ndege na samaki wana nyama tofauti.