1 Wakorintho 15:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Pia kuna miili ya mbinguni na miili ya duniani; lakini uzuri wa miili ya mbinguni ni wa aina moja na uzuri wa miili ya duniani ni wa aina nyingine.