1 Wakorintho 15:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Mungu huipa hiyo mbegu umbo kama alivyochagua mwenyewe, na kila aina ya mbegu ina umbo lake.