1 Wakorintho 12:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, wote wana karama ya kuponya? Wote wanasema kwa lugha ngeni? Wote wanatafsiri lugha?