1 Wakorintho 12:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi takeni kwa moyo karama zilizo bora. Nami nitawaonyesha njia iliyo bora kupita zote.