1 Wakorintho 12:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, wote ni mitume? Au wote ni manabii? Wote ni walimu? Wote wanafanya miujiza?