Song Of Songs 2
NIV — New International Version Bible (NIV)
SNT — Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Verse 1
He
Lakini pia walikuwepo manabii wa uongo miongoni mwa watu, kama watakavyotokea walimu wa uongo kati yenu. Kwa siri, watain giza mafundisho ya upotovu hata kumkana Bwana aliyewakomboa, na kwa njia hiyo watajiletea maangamizi ya haraka.
Verse 2
Like a lily among thorns
is my darling among the young women.
is my darling among the young women.
She
Na wengi wata fuata tamaa zao potovu, na kwa ajili ya matendo yao njia ya kweli itadharauliwa.
Verse 3
Like an apple[c] tree among the trees of the forest
is my beloved among the young men.
I delight to sit in his shade,
and his fruit is sweet to my taste.
is my beloved among the young men.
I delight to sit in his shade,
and his fruit is sweet to my taste.
Nao katika tamaa yao watajaribu kuwanunua kwa kuwaambia hadithi walizotunga wenyewe. Lakini hukumu yao imekuwa tayari tangu zamani, wala mwangamizi wao hajalala usingizi.
Verse 4
Let him lead me to the banquet hall,
and let his banner over me be love.
and let his banner over me be love.
Maana kama Mungu hakuwahurumia malaika walipotenda dhambi bali aliwatupa kuzimu, katika vifungo vya giza wakae huko mpaka siku ya hukumu;
Verse 5
Strengthen me with raisins,
refresh me with apples,
for I am faint with love.
refresh me with apples,
for I am faint with love.
kama hakuuhurumia ulimwengu wa kale alipoleta gharika juu ya ulimwengu wa watu wasiomcha Mungu, akamlinda Noe mjumbe wa haki, pamoja na watu saba wengine;
Verse 6
His left arm is under my head,
and his right arm embraces me.
and his right arm embraces me.
kama aliihukumu miji ya Sodoma na Gomora kwa kuiteketeza ikawa majivu, akaifanya kuwa mfano kwa wote ambao hawatamcha Mungu;
Verse 7
Daughters of Jerusalem, I charge you
by the gazelles and by the does of the field:
Do not arouse or awaken love
until it so desires.
by the gazelles and by the does of the field:
Do not arouse or awaken love
until it so desires.
na kama alimwokoa Loti, mtu mwenye haki ambaye alihuzunishwa na maisha ya uchafu ya watu wahalifu -
Verse 8
Listen! My beloved!
Look! Here he comes,
leaping across the mountains,
bounding over the hills.
Look! Here he comes,
leaping across the mountains,
bounding over the hills.
kwa sababu yale maasi aliyoona na kusikia huyo mtu wa Mungu alipoishi kati yao yalimhuzunisha usiku na mchana -
Verse 9
My beloved is like a gazelle or a young stag.
Look! There he stands behind our wall,
gazing through the windows,
peering through the lattice.
Look! There he stands behind our wall,
gazing through the windows,
peering through the lattice.
basi ikiwa ni hivyo, Bwana anajua jinsi ya kuwaokoa watu wa Mungu kutoka katika majaribu na kuwaweka waasi katika hali ya adhabu mpaka siku ya hukumu.
Verse 10
My beloved spoke and said to me,
“Arise, my darling,
my beautiful one, come with me.
“Arise, my darling,
my beautiful one, come with me.
Hii ni hakika hasa kwa wale wanaofuata tamaa chafu za mwili na kudharau mamlaka. Watu hawa ni shupavu na katika kiburi chao, hawaogopi kuwatu kana viumbe vitukufu wa mbinguni;
Verse 11
See! The winter is past;
the rains are over and gone.
the rains are over and gone.
ingawa hata malaika, ambao wana nguvu na uwezo zaidi, hawawashtaki au kuwatukana viumbe hao mbele za Bwana.
Verse 12
Flowers appear on the earth;
the season of singing has come,
the cooing of doves
is heard in our land.
the season of singing has come,
the cooing of doves
is heard in our land.
Lakini watu hawa hukufuru katika mambo wasiy oyafahamu. Wao ni kama wanyama wasio na akili, viumbe wanaotawal iwa na hisia za mwili, ambao wamezaliwa ili wakamatwe na kuchinjwa, na kama wanyama, wao pia wataangamizwa.
Verse 13
The fig tree forms its early fruit;
the blossoming vines spread their fragrance.
Arise, come, my darling;
my beautiful one, come with me.”
the blossoming vines spread their fragrance.
Arise, come, my darling;
my beautiful one, come with me.”
He
Watalipizwa madhara kwa ajili ya madhara waliyowatendea wengine. Furaha yao ni kufanya karamu za ufisadi mchana, wazi wazi. Wao huleta aibu na fedheha wanaposhiriki katika karamu zenu kwa kuwa wakati wote huo, wanajifurahisha katika upotevu wao.
Verse 14
My dove in the clefts of the rock,
in the hiding places on the mountainside,
show me your face,
let me hear your voice;
for your voice is sweet,
and your face is lovely.
in the hiding places on the mountainside,
show me your face,
let me hear your voice;
for your voice is sweet,
and your face is lovely.
Macho yao yamejaa uzinzi, nao hutenda dhambi bila kikomo. Huwahadaa watu dhaifu. Mioyo yao imezoea kutamani. Hawa ni wana wa laana!
Verse 15
Catch for us the foxes,
the little foxes
that ruin the vineyards,
our vineyards that are in bloom.
the little foxes
that ruin the vineyards,
our vineyards that are in bloom.
She
Wameiacha njia iliyonyooka, wakapotoka na kuifuata njia ya Balaamu mwana wa Beori aliyependa kupata fedha kwa kufa nya maovu.
Verse 16
My beloved is mine and I am his;
he browses among the lilies.
he browses among the lilies.
Balaamu alikaripiwa kwa ajili ya uovu wake. Punda ambaye hasemi alinena kwa sauti ya binadamu akamzuia huyo nabii asiendelee na kichaa chake.
Verse 17
Until the day breaks
and the shadows flee,
turn, my beloved,
and be like a gazelle
or like a young stag
on the rugged hills.[d]
and the shadows flee,
turn, my beloved,
and be like a gazelle
or like a young stag
on the rugged hills.[d]
Watu hawa ni kama chemchemi zilizokauka na ukungu upeper ushwao na tufani, na lile giza jeusi limewekwa tayari kwa ajili yao.
Verse 18
— not in NIV
Wao hutamka maneno matupu ya majivuno na kutumia tamaa mbaya za mwili kuwanasa tena wale ambao ndio kwanza wameepukana na watu wanaoishi maisha ya uovu.
Verse 19
— not in NIV
Huwaahidi hao waliowanasa kuwa watakuwa huru kabisa, lakini wao wenyewe ni watumwa wa upo tovu. Kwa maana mtu huwa mtumwa wa kitu kile kinachomshinda nguvu.
Verse 20
— not in NIV
Kwa maana wale waliokwisha kuponyoka kutoka katika uchafu wa dunia hii kwa kumjua Bwana na Mwokozi Yesu Kristo , kisha wakanaswa tena na kushindwa, hali yao ya mwisho ni mbaya zaidi kuliko ile ya kwanza.
Verse 21
— not in NIV
Ingekuwa heri kwao kama hawa kuijua kamwe njia ya haki, kuliko kuifahamu kisha wakaiacha ile amri takatifu waliyopewa.
Verse 22
— not in NIV
Kama methali moja isemavyo, “Mbwa huyarudia matapishi yake mwenyewe,” na nyingine, “Nguruwe huoshwa na kurudi kugaa-gaa matopeni.”