Song Of Songs 3
NIV — New International Version Bible (NIV)
SNT — Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Verse 1
All night long on my bed
I looked for the one my heart loves;
I looked for him but did not find him.
I looked for the one my heart loves;
I looked for him but did not find him.
Rafiki wapendwa, hii ni barua ya pili ninayowaandikia. Katika barua zote mbili nimejaribu kuziamsha nia zenu safi kwa kuwakumbusha mambo haya.
Verse 2
I will get up now and go about the city,
through its streets and squares;
I will search for the one my heart loves.
So I looked for him but did not find him.
through its streets and squares;
I will search for the one my heart loves.
So I looked for him but did not find him.
Napenda mkumbuke maneno yaliyosemwa zamani na manabii watakatifu na ile amri ya Bwana na Mwokozi mli yopewa na mitume wenu.
Verse 3
The watchmen found me
as they made their rounds in the city.
“Have you seen the one my heart loves?”
as they made their rounds in the city.
“Have you seen the one my heart loves?”
Kwanza kabisa ni lazima muelewe hili: kwamba siku za mwisho watu wenye dhihaka watakuja kuwadhihaki wakiwa wametawaliwa na tamaa zao wenyewe.
Verse 4
Scarcely had I passed them
when I found the one my heart loves.
I held him and would not let him go
till I had brought him to my mother’s house,
to the room of the one who conceived me.
when I found the one my heart loves.
I held him and would not let him go
till I had brought him to my mother’s house,
to the room of the one who conceived me.
Watawaambia, “Ali yeahidi atakuja yuko wapi? Tangu baba zetu walipokufa mambo yam eendelea kuwa kama yalivyokuwa tangu kuumbwa kwa dunia.”
Verse 5
Daughters of Jerusalem, I charge you
by the gazelles and by the does of the field:
Do not arouse or awaken love
until it so desires.
by the gazelles and by the does of the field:
Do not arouse or awaken love
until it so desires.
Wao wameamua kusahau kwamba ni kwa neno la Mungu mbingu zilikuwepo tangu zamani, na kwamba ulimwengu uliumbwa kutokana na maji kwa njia ya maji,
Verse 6
Who is this coming up from the wilderness
like a column of smoke,
perfumed with myrrh and incense
made from all the spices of the merchant?
like a column of smoke,
perfumed with myrrh and incense
made from all the spices of the merchant?
na kuwa kwa maji hayo hayo ulimwengu ule uliokuwepo uliangamizwa wakati ule wa gharika.
Verse 7
Look! It is Solomon’s carriage,
escorted by sixty warriors,
the noblest of Israel,
escorted by sixty warriors,
the noblest of Israel,
Lakini kwa neno hilo hilo mbingu na dunia, ambazo zipo hivi sasa, zimewekwa akiba kuchomwa moto, zimewekwa mpaka siku ile ya hukumu na ya kuangami zwa kwa watu wasiomcha Mungu.
Verse 8
all of them wearing the sword,
all experienced in battle,
each with his sword at his side,
prepared for the terrors of the night.
all experienced in battle,
each with his sword at his side,
prepared for the terrors of the night.
Lakini wapendwa msisahau neno hili, kwamba kwa Bwana, siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
Verse 9
King Solomon made for himself the carriage;
he made it of wood from Lebanon.
he made it of wood from Lebanon.
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake kama watu wengine wanavyochukulia kukawia, bali yeye anawavumilia, maana hapendi mtu ye yote aan gamie, bali wote waifikie toba.
Verse 10
Its posts he made of silver,
its base of gold.
Its seat was upholstered with purple,
its interior inlaid with love.
Daughters of Jerusalem, 11 come out,
and look, you daughters of Zion.
Look[a] on King Solomon wearing a crown,
the crown with which his mother crowned him
on the day of his wedding,
the day his heart rejoiced.
its base of gold.
Its seat was upholstered with purple,
its interior inlaid with love.
Daughters of Jerusalem, 11 come out,
and look, you daughters of Zion.
Look[a] on King Solomon wearing a crown,
the crown with which his mother crowned him
on the day of his wedding,
the day his heart rejoiced.
Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Ndipo mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; na vitu vya asili vitateketezwa kwa moto na dunia na vitu vyote vilivyomo humo vitateketezwa.
Verse 11
— not in NIV
Kwa kuwa kila kitu kitateketezwa hivyo, ninyi je, mna paswa kuwa watu wa namna gani? Mnapaswa kuishi maisha ya utaka tifu na utauwa,
Verse 12
— not in NIV
mkingojea na mkiharakisha kuja kwa siku ya Mungu, siku ambayo mbingu zitateketezwa kwa moto na kutoweka, na vitu vyote vilivyomo ndani yake vitayeyushwa kwa moto!
Verse 13
— not in NIV
Lakini kufuatana na ahadi yake, sisi tunangojea mbingu mpya na dunia mpya ambamo haki huishi.
Verse 14
— not in NIV
Kwa hiyo wapendwa, kwa kuwa mnatazamia mambo haya, jita hidini ili mkutwe hamna doa wala lawama, mkiwa na amani naye.
Verse 15
— not in NIV
Hesabuni uvumilivu wa Bwana kuwa ni wokovu, kama ndugu yetu mpendwa Paulo alivyokwisha kuwaandikieni kwa hekima aliyopewa na Mungu.
Verse 16
— not in NIV
Ameandika hivyo hivyo katika barua zake zote akizun gumzia mambo haya. Barua zake zina mambo mengine ambayo ni magumu kuelewa, ambayo watu wajinga na wasio na msimamo huyapotosha, kama wanavyopotosha sehemu nyingine za Maandiko; na hivyo wana jiletea kuangamia.
Verse 17
— not in NIV
Basi, ninyi wapendwa mkijua haya, jihadharini msije mka potoshwa na makosa ya hao waasi na kupoteza uthabiti wenu.