Song Of Songs 1
NIV — New International Version Bible (NIV)
SNT — Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Verse 1
Solomon’s Song of Songs.
She[a]
Kutoka kwa Simoni Petro mtumishi na mtume wa Yesu Kristo. Kwa wote ambao wamepokea imani yenye thamani kama yetu kutokana na haki ya Mungu wetu na Mwokozi Yesu Kristo.
Verse 2
Let him kiss me with the kisses of his mouth—
for your love is more delightful than wine.
for your love is more delightful than wine.
Nawatakieni neema na amani tele katika kumjua Mungu na Yesu
Wito Wa Kuishi Maisha Ya Kikristo
Verse 3
Pleasing is the fragrance of your perfumes;
your name is like perfume poured out.
No wonder the young women love you!
your name is like perfume poured out.
No wonder the young women love you!
Uweza wake wa kimungu umetupatia mambo yote yanayohusiana na uzima na utauwa kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake.
Verse 4
Take me away with you—let us hurry!
Let the king bring me into his chambers.
Let the king bring me into his chambers.
Friends
We rejoice and delight in you[b];
we will praise your love more than wine.
She
How right they are to adore you!
Kwa njia hiyo ametupatia ahadi zake kuu na za tha mani. Mkishika ahadi hizo mtashiriki asili yake ya kimungu na kuepuka uovu ambao uko duniani kwa sababu ya tamaa mbaya.
Verse 5
Dark am I, yet lovely,
daughters of Jerusalem,
dark like the tents of Kedar,
like the tent curtains of Solomon.[c]
daughters of Jerusalem,
dark like the tents of Kedar,
like the tent curtains of Solomon.[c]
Kwa sababu hii, jitahidini sana kuongeza wema katika imani yenu; na katika wema ongezeni maarifa;
Verse 6
Do not stare at me because I am dark,
because I am darkened by the sun.
My mother’s sons were angry with me
and made me take care of the vineyards;
my own vineyard I had to neglect.
because I am darkened by the sun.
My mother’s sons were angry with me
and made me take care of the vineyards;
my own vineyard I had to neglect.
na katika maarifa ongezeni kiasi; na katika kiasi ongezeni ustahimilivu; na katika ustahimilivu ongezeni kumcha Mungu;
Verse 7
Tell me, you whom I love,
where you graze your flock
and where you rest your sheep at midday.
Why should I be like a veiled woman
beside the flocks of your friends?
where you graze your flock
and where you rest your sheep at midday.
Why should I be like a veiled woman
beside the flocks of your friends?
Friends
na katika kumcha Mungu ongezeni upendano wa kindugu; na katika upendano wa kindugu ongezeni upendo.
Verse 8
If you do not know, most beautiful of women,
follow the tracks of the sheep
and graze your young goats
by the tents of the shepherds.
follow the tracks of the sheep
and graze your young goats
by the tents of the shepherds.
He
Maana mkiwa na sifa hizi kwa wingi zitawawe zesha kuwa wenye bidii na wenye kuzaa matunda katika kumfahamu Bwana wetu Yesu Kristo.
Verse 9
I liken you, my darling, to a mare
among Pharaoh’s chariot horses.
among Pharaoh’s chariot horses.
Lakini mtu asiyekuwa na sifa hizi ni kipofu, haoni mbali, na amesahau kuwa ametakaswa dhambi zake za zamani.
Verse 10
Your cheeks are beautiful with earrings,
your neck with strings of jewels.
your neck with strings of jewels.
Kwa hiyo, ndugu zangu, fanyeni bidii zaidi kuuhakikisha wito wenu na uteule wenu, kwa maana mkifanya hivyo, hamtaanguka kamwe;
Verse 11
We will make you earrings of gold,
studded with silver.
studded with silver.
She
na mtakaribishwa kwa fahari kubwa katika ufalme wa milele wa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo.
Unabii Wa Maandiko
Verse 12
While the king was at his table,
my perfume spread its fragrance.
my perfume spread its fragrance.
Kwa hiyo ninakusudia kuwakumbusha hayo siku zote, ingawa mnayafahamu na mmekuwa imara katika kweli mliyo nayo.
Verse 13
My beloved is to me a sachet of myrrh
resting between my breasts.
resting between my breasts.
Nadhani ni vema niwahimize kwa kuwakumbusha mambo haya, wakati wote nina poishi katika mwili huu.
Verse 14
My beloved is to me a cluster of henna blossoms
from the vineyards of En Gedi.
from the vineyards of En Gedi.
He
Kwa maana najua kwamba karibu nitauweka kando mwili wangu, kama Bwana wetu Yesu Kristo alivyon ionyesha wazi.
Verse 15
How beautiful you are, my darling!
Oh, how beautiful!
Your eyes are doves.
Oh, how beautiful!
Your eyes are doves.
She
Na nitahakikisha kwamba baada ya kuondoka kwangu mtaendelea kukumbuka mambo haya kila wakati.
Verse 16
How handsome you are, my beloved!
Oh, how charming!
And our bed is verdant.
Oh, how charming!
And our bed is verdant.
He
Tulipowafundisha juu ya uweza na kuja kwa Bwana wetu Yesu Kristo, hatukufuata hadithi zilizotungwa kwa werevu, bali tulish uhudia kwa macho yetu utukufu wake.
Verse 17
The beams of our house are cedars;
our rafters are firs.
our rafters are firs.
Maana alipopewa heshima na utukufu kutoka kwa Mungu Baba, na sauti ikamjia katika utukufu mkuu ikisema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, nimependezwa naye’
Verse 18
— not in NIV
tuliisikia sauti hii iliyotoka mbinguni, maana tulikuwa naye kwenye ule mlima mtakatifu.
Verse 19
— not in NIV
Kwa hiyo tuna uhakika zaidi juu ya ujumbe wa manabii. Hivyo itakuwa vema mkizingatia ujumbe huo, kama vile watu wanavy oitegemea taa ing’aayo mahali penye giza, mpaka Siku ile itakapo fika na nyota ya asubuhi itakapoangaza mioyoni mwenu.
Verse 20
— not in NIV
Kwanza kabisa ni lazima muelewe kwamba hakuna unabii katika Maandiko uliotokana na tafsiri ya nabii mwenyewe.
Verse 21
— not in NIV
Kwa sababu hakuna unabii uliokuja kwa matakwa ya binadamu, bali watu walinena ujumbe kutoka kwa Mungu wakiongozwa na Roho Mtakatifu.