Yohana 9:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo wakamgeukia tena yule aliyeponywa wakamwuliza, “Wewe unamwonaje huyu mtu ambaye amekufanya ukaweza kuona?” Yeye akawajibu, “Mimi nadhani yeye ni nabii.”