Yohana 9:16
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Baadhi ya Mafarisayo wakamwambia, “Huyu mtu ali yekuponya hawezi kuwa ametoka kwa Mungu kwa sababu hatimizi she ria ya kutokufanya kazi siku ya sabato.” Lakini wengine wakab isha, wakiuliza, “Anawezaje mtu mwenye dhambi kufanya maajabu ya jinsi hii?” Pakawepo na kutokuelewana kati yao .