Yohana 8:50

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hata hivyo mimi sitafuti utukufu wangu binafsi; yuko anayetaka niheshimiwe na ndiye atakayekuwa mwamuzi.