Yohana 8:49

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawajibu, “Sina pepo. Mimi namheshimu Baba yangu bali ninyi mnanivunjia heshima yangu.