Yohana 8:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walimu wa sheria na Mafarisayo wakamleta mwanamke mmoja aliyefumaniwa akizini. Wakamsimamisha katikati ya watu wote.